Nyumbani VIDEO: Magufuli aagiza DC, RPC kumlipa sh.15 milioni mjane aliyeibiwa ng'ombe 25 byMuungwana Blog 2 -10/08/2019 07:27:00 PM 0 Rais John Magufuli ameagiza DC wa Nkasi na askari polisi wilayani humo kumlipa Shilingi 15 milioni nyingine kama fidia mwanamke aliyeibiwa ng’ombe wake 25, ametoa siku tano fedha hizo kulipwa. TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE Facebook Twitter