https://monetag.com/?ref_id=TTIb VIDEO: Maskini!! mwili uliozama kwenye maji wapatikana | Muungwana BLOG

VIDEO: Maskini!! mwili uliozama kwenye maji wapatikana


Kijana Samweli Mhina ambaye alizama katika dogo Momela katika hifadhi ya Arusha amepatikana akiwa ameshafariki baada ya kutafutwa ndani ya maji kwa siku 4 ambapo alizama baada ya mtumbwi aliokuwa nao kupinduka kutokana na kimbunga kilichotokea siku za nyuma mkoani Arusha

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE