Loading...

10/17/2019

VIDEO: Mbunge wa Tandahimba amlipua Harmonize, ni baada ya kauli ya Rais Magufuli kutamani awe mbunge wa jimbo lake


Baada ya rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli kwenye mkutano wa hadhara mjini Ruangwa, Lindi kusema kuwa anatamani msanii Harmonize awe Mbunge, Mbunge wa jimbo la Tandahimba, Ahmed Katani (CUF) amefunguka kuhusu nkauli hiyo.

Katika mkutano huo Rais Magufuli alisema, “Lakumalizia nawapongeza sana waimbaji hawa wakina baba, lakini nampongeza sana Harmonize (Rajab Abdul) sijui anatoka jimbo gani?"

“Anatoka jimbo gani huyu? Tandahimba? Mbunge wa kule ni nani? Amehoji Rais na kueleza," Alihoji Rais Magufuli.

"Aaa ningetamani kweli Harmonize akagombee kule akawe mbunge wa Tandahimba,” amesema.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger