https://monetag.com/?ref_id=TTIb VIDEO: Mwenyekiti ampa mumewe kadi ili apate kura za maoni | Muungwana BLOG

VIDEO: Mwenyekiti ampa mumewe kadi ili apate kura za maoni


Baadhi ya wagombea wa nafasi ya Uenyekiti ambao wanaogombea katika kura za maoni ili waweze kupitishwa na chama cha CCM tawi la Ngorbob kata ya Mateves wamemshtumu mwenyekiti wa CCM kata ya Mateves Asha Said kwa kumpa kadi 150 mumewe ili apitishwe katika kura za maoni jambo ambalo amesema si la kweli.

Vilevile tumezungumza na katibu wa tawi hilo ambalo kumezuka shutuma hizo na kukataa kwamba jambo hilo siyo la kweli bali ni watu ambao wanacheza mchezo mchafu katika siasa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE