VIDEO: Rais Magufuli ambana Meya hadharani, abaini upigwaji wa fedha "Kuna mchezo mchafu"


Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli Jumatatu ya leo akiwa katika ziara mkoani Rukwa, amembana Mstahiki Meya wa manispaa ya Sumbawanga, Justine Malisawa kuhusu fedha za wafanyabiashara ambazo wamechanga kwa ajili ya ujenzi wa soko.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE