Loading...

10/07/2019

VIDEO: TAKUKURU yawageukia watendaji wa serikali, yatoa onyo kali ''msibebane''


Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa mkoani Manyara imetoa taarifa ya utekelezaji wa kazi zake kuanzia mwezi Julai hadi Septemba 2019.

Katika Taarifa hiyo imeeleza kuwa jumla ya malalamiko 134 kutoka idara mbalimbali yamepokelewa,ambapo kati ya malalamiko hayo,96 yalihusiana na makosa ya Rushwa na 38 hayakuhusiana na Rushwa.

Akizungumza na Waandishi wa Habari katika Ofisi zao,Naibu mkuu wa Takukuru Mkoa wa Manyara Isdory Kyando amewataka watendaji serikalini kuendeleza mapambano ya Rushwa na kuacha kubebana.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE

KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger