Loading...

Oct 7, 2019

VIDEO: Magufuli avua viatu na kuingia msikitini, amuita msaidizi wake apiga dua nzito


Rais Dkt John Magufuli, leo Oktoba 07, amendelea na ziara yake Mkoani Rukwa ya kukagua na kuzindua miradi mbalimbali

Katika ziara yake ambayo ilianzia mkoani Songwe, Rais Magufuli, ameongozana na mawaziri mbalimbali akiwemo Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga, Waziri wa mambo ya nje, Profesa Kabudi pamoja na naibu waziri wa michezo, Juliana Shonza.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE


KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger