Loading...

10/07/2019

VIDEO: Makonda atinga Kituo cha Afya, awachana wananchi kwa kumchagua Kubenea

Leo Oktoba 7, 2019 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda akiwa katika ziara ya kukagua miradi inayotekelezwa na Serikali ya awamu ya tano ametembele kituo cha afya cha Kimara kata ya Saranga na kuzungumza na wananchi waliofika kituoni hapo ili kupata huduma.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE

KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger