VIDEO: Wanakijiji wacharuka, wampiga "STOP" mwekezaji, Kisa ..


Wakazi wa kijiji cha Chemchem wilayani Babati, Manayara wameweka zuio kwa mwekezaji wa kampuni ya Rift Valley Agrigate kutofanya shughuli za uchimbaji wa kokoto za ujenzi katika milima ya Mandani hadi hapo atakapojitambulisha kwenye serikali ya kijiji hicho ambacho ndicho kinachomiliki mlima huo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KUSUBSCRIBE 

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia