Wanawake wa chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Njombe na jimbo la Lupembe wameendelea kuhimizwa kujitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi mbali mbali za uongozi wa serikali katika vijiji na mitaa yao,huku wengi wao wakiahidi kuwaburuza wanaume katika nafasi hizo.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE
