Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan ataraji kukutana na rais wa Marekani Donald Trump mjini Washington ifikapo Novemba.
Rais ErdoÄŸan amezungumza na rais Trump kwa njia ya simu Jumapili kuhusu eneo salama nchini Syria.
Viongozi hao wamejadili uwezekano wa kuundwa eneo salama Mashariki mwa Frati nchini Syria.
Kuhusu suala hilo rais ErdoÄŸan atajielekeza nchini Marekani kuzungumza na rais Trump ifikapo Novemba.
Katika mazungumzo yao hayo kwa njia ya simu, rais ErdoÄŸan amesema kuwa eneo salama nchini Syria ni kwa ajili ya kuondoa vitisho vya wanamgambo wa kundi la YPG/PKK.