VIDEO: Makonda aibuka kwenye ujenzi wa barabara za juu Ubungo


Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amefanya ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya Ujenzi wa Daraja la Kisasa la Juu (Interchange) Ubungo ambapo ameridhishwa na kasi ya ujenzi huo na kumuelekeza mkandarasi kuhakikisha mradi unakamilika kwa wakati.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items