VIDEO: Watakiwa kujiandikisha kwa wingi daftari la kupiga kura


Wananchi wilayani morogoro vijijini wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura zoezi linalo tarajiwa kuanza hivi karibuni ambapo wananchi wapatao 144,961 wanatarajiwa kuandikishwa katika daftari hilo lengo likiwa wananchi kupata frusa ya kupiga kura na kuchagua viongozi wanao wafaa katika kuleta maendeleo ya nchi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAHU KU SUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia