Nyumbani LIVE: Ziara ya Rais Magufuli mkoani Rukwa byMuungwana Blog 5 -10/07/2019 02:48:00 PM 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli anafanya ziara ya siku tatu Mkoani Rukwa ambapo anafungua na kukagua miradi ya Maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi wa Maeneo mbalimbali ya Rukwa na Wilaya zake. Facebook Twitter