Waziri Mkuu ajiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijiandikisha kwa ajili ya uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa katika kituo cha Shule ya Msingi ya Nandagala wilayani Ruangwa, Oktoba 12, 2019
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudia wakati mkewe Mary alipojiandikisha  kwa ajili ya uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa  kwenye kituo cha Shule ya Msingi ya Nandagala wilayani Ruangwa, Oktoba 12, 2019
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia