Waziri Mkuu alivyofungua maadhimisho ya wiki ya Viwanda Kitaifa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikata utepe , kufungua maadhimisho ya Wiki ya Viwanda Kitaifa, kwenye uwanja wa Bombadia mjini Singinda

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Mkewe, Marry Majaliwa (wapili kulia) akisalimiana na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Stela Manyanya wakati akiwasili kwenye uwanja wa Bombadia Singinda, kufungua maadhimisho ya Wiki ya Viwanda Kitaifa



Mpya zaidi Nzee zaidi