Wizara ya Afya yakanusha taarifa hii


Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inakanusha Tangazo linalosambaa mitandaoni kuwa imetoa ajira mpya kwa vijana 700 wa Tanzania za uelimishaji namna ya uchangishaji damu na ukusanyaji wa damu vijijini.


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items