Loading...

11/15/2019

Cristiano Ronaldo afikisha 'Hat Trick' ya 55, amuacha Lionel Messi


Mshambuliano wa Ureno na Juventus, Cristiano Ronaldo amefikisha 'Hat Trick' yake ya 55 katika maisha yake ya soka.

1. Manchester United: 1
2. Real Madrid: 44
3. Juventus: 1
4. Portugal: 9

Orodha ya Hat trick za Ronaldo kila mwaka

2008 1️⃣
2010 4️⃣
2011 9️⃣
2012 4️⃣
2013 8️⃣
2014 4️⃣
2015 8️⃣
2016 7️⃣
2017 3️⃣
2018 3️⃣
2019 4️⃣
Jumla 5️⃣5️⃣

Takwimu kati yake na Lionel Messi

Career hat-tricks:
Ronaldo 55
Messi 52

Career Goals:

Ronaldo 702
Messi 680

Assists:

Ronaldo 220
Messi 280

Game total

Ronaldo 980
Messi 834


KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger