Matokeo ya Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo

Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara imeendelea leo katika viwanja vitatu na haya ndio matokeo ya michezo hiyo.


FT: Tanzania Prisons 1-0 Singida United.

FT: Namungo FC 1-0 Polisi Tanzania.

FT: Ndanda SC 0-1 Coastal Union.


Mpya zaidi Nzee zaidi