Msanii Beka Flavour amtungia wimbo Rais Magufuli, unaitwa Hapa Kazi Tu


Msanii wa Bongo Fleva, Beka Flavour ametunga wimbo maalum kwa ajili ya Rais John Magufuli na Chama chake cha CCM kwa ajili ya mambo mazuri aliyoyafanya tangu alipoingia Madarakani.

Beka anaungana na wasanii wengine kama Harmonize, Nandy na Maua Sama ambao wametunga nyimbo maalumu kwa kupongeza mambo mazuri yaliyofanywa na Rais Magufuli.

Usikilize hapa chini; 

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items