Mtibwa Sugar sasa kutumia uwanja wa CCM Gairo


Mtibwa Sugar wataanza kuutumia uwanja wa CCM Gairo uliopo Morogoro kama uwanja wao wa nyumbani kwenye mechi za Ligi kuu Tanzania Bara

Mchezo wa kwanza katika uwanja huo, Mtibwa wanatarajia watacheza dhidi ya Mwadui FC, Mchezo huu utachezwa majira ya saa 10 jioni.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items