Naibu Waziri wa Nishati afanya ziara Mafia



Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, hapo jana Novemba 4, 2019, alifanya ziara ya kazi wilayani Mafia, Mkoa wa Pwani.

Katika ziara hiyo, Naibu Waziri amekagua utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini na kuwasha umeme katika vijiji vya Chem Chem na Marimbani.

Aidha, ametembelea eneo ambalo litajengwa mitambo ya kuzalishia umeme wa upepo na pia ametembelea na kukagua mitambo ya kufua umeme wilayani humo.


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items