Picha: Mbwa mwenye mkia kichwani apatikana


Mbwa mwenye mkia kichwani amepatikana huko Missouri nchini Marekani. Mbwa huyo mdogo mwenye umri wa wiki 10 ana mkia mdogo kichwani kando na mkia wa kawaida.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items