VIDEO: BAVICHA wamuunga mkono Mbowe/ Wamvaa waziri Jafo "Ajiuzulu"


Mwenyekiti wa Baraza la vijana wa Chadema (BAVICHA), Patrick Ole Sosopi, Alhamisi ya leo kwenye ofisi za makao makuu za chama chao amezungumza na waandishi wa habari huku akimpongeza mwenyekiti wao  Freeman Mbowe kwa maamuzi ya kujiondoa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Pia Sosopi amemvaa waziri wa TAMISEMI, Sulemani Jafo huku akitaka ajiuzulu nafasi yake.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items