VIDEO: Kocha Zahera atimuliwa Yanga,mrithi wake atajwa


Mwenyekiti wa klabu ya oka ya Yanga, Mshindo Msolla ametangaza rasmi kumuachisha kazi kocha mkuu wa timu hiyo Mwinyi Zzahera pamoja na benchi zima la ufundi. Msolla amemtaja Boniface Mkwasa kushika kwa muda nafasi ya Zahera.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE