Abiria mmoja mwanamke ambae bado hajafahamika jina wala makazi, anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 25 hadi 30 alianguka chini toka kwenye pikipiki na kuburuzwa umbali kiasi cha mita 70 baada ya mtandio aliokua amejifunga shingoni kuingia na kujisokota kwenye tairi (spockert) na baadae kufariki baada ya kukimbizwa hospitali ya rufaa ya mkoa sekou toure kwa ajili ya kupatiwa matibabu.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE
