VIDEO: Tundu Lissu aanza kazi, Mbowe aweka wazi ''amechukua fomu''


Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA taifa Freeman Mbowe amethibitisha kuwa aliyekua mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu amejaza na kusaini fomu ya kuwania nafasia ya makamu mwenyekiti wa chama hicho.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...... USISAHAU KUSUBSCRIBE