VIDEO: Mbunge Mlinga achachamaa na DNA ,kina baba wanalea watoto sio wao


Mbunge wa Ulanga CCM, Goodlack Mlinga leo wakati akiuliza swalli la nyengeza bungeni amesema serikali haioni haja ya kuruhusu mtoto anapokwenda clinic kwa mara ya kwanza kupimwa DNA ili kuepusha vitendo vya ubambikizaji wa watoto kwa wanaume na kuleo watoto siio  wao

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items