Jeshi la polisi mkoa wa Dodoma linawashikilia watuhumiwa kumi na tisa kwa makosa mbalimbali akiwamo mchungaji wa kanisa la Angilikana, huko Pwaga, Wilaya Mpwapwa kwa kosa la kukutwa na meno ya tembo mawili, akiwa ameyapakia kwenye pikipiki
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE