VIDEO: Meya wa Chadema aliyetimkia CCM amliza Mkurugenzi, atoboa siri nzito

ALIYEKUWA Mstahiki Meya wa halmashauri ya Jiji la Arusha, Kalisti Lazaro leo amekabidhi rasmi ofisi kwa Mkurugenzi wa halmashauri ya jiji hilo Dkt. Maulid Madeni na kuwaaga rasmi watumishi wa halmashauri hiyo na kuwashukuru kwa ushirikiano wao katika kipindi chake cha miaka minne .

Akizungumza wakati wa kuwaaga watumishi kwenye ukumbi wa halmashauri hiyo, Meya hiyo amesema ameachia ngazi akiiacha halmashauri ikiwa na mafanikio makubwa ya maendeleo ikiwemo utekelezaji wa miradi mikubwa ,ongezeko la ukusanyaji wa mapato pamoja na jiji kufanya vizuri kielimu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi