VIDEO: Mwananchi ajilipua mbele ya Rais Magufuli ''maisha magumu achia pesa''


Rais Dkt John Magufuli, leo Novemba 27, ameanza ziara rasmi katika mkoa wa Shinyanga, ambapo kabla ya kuwasili amesimama katika maeneo tofauti tofauti barabarani na kuzungumza na wananchi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items