VIDEO: Polisi yawanasa watu watatu kwa kuvunja ofisi na kuiba kompyuta

Jeshi la polisi Mkoani Morogoro linawashikilia watu watatu kwa kosa la kuvunja ofisi ya shule ya msingi  Msamvu "b" iliyopo kata ya mMwembesongo manispaa ya Morogoro kisha  kuiba kompyuta 23 za kufundishia wanafunzi na kuziweka kwenye viroba sita na kuzipakia kwenye gari isiyofahamika na kutoweka kusikojulikana.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items