VIDEO: TAKUKURU yawanasa Mtendaji wa kijiji na Mwalimu kwa kosa rushwa


Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma inamshikilia David Daud (50) ambaye ni Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Mapanga kilichopo Kata ya Itiso Wilayani  Chamwino kwa kosa la kushawishi na kujaribu kupokea rushwa ya shilingi laki tatu kutoka kwa mfugaji aliyekuwa akiomba kuingiza mifugo katika Kijiji hicho, na aliyekuwa mwalimu wa shule ya Miembeni Kigaigwa, Kongwa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE