VIDEO: Wakamatwa kwa kutangaza dawa za asili kinyume na utaratibu
byMuungwana Blog 2-
0
Mganga Mkuu wa jiji la Arusha Dokta Simon Chacha amewakamata watu wanaofanya biashara ya kutangaza dawa za asili maeneo ya stendi kutokana na kukiuka taratibu bila kuwa na kibali.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE