VIDEO: Yanga kufanya tukio zito Mwanza/ GSM yaahidi kutoa milioni 10 ikiichapa Alliance


Klabu ya soka ya Yanga kupitia kwa afisa muhamasishaji wake, Antonio Nugaz, ametangaza kuwa IJumaa ya kesho majira ya asubuhi wanatarajiwa kufanya tukio zito katika hospitali ya Bugando kwa wanachama wao takribani 200 kuchangia damu huku GSM wakitarajiwa kutoa magodoro kuanzia 30 na kuendelea kwa ajili ya wagonjwa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items