VIDEO: Chadema watoa tamko kwa DC aliyetaka bendera zao zishushwe, "Wanachama wasikubali"
byMuungwana Blog 1-
0
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje kupitia Chadema, John Mrema, ametoa kauli kwa mkuu wa wilaya Sumbawanga, ambaye amedaiwa kutaka bendera zote za chama hicho katika eneo lake zishushwe.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE