VIDEO: Mufti Mkuu Tanzania apiga marufuku dufu na kaswida ''mziki moto''


Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuberi leo Disemba 9 amepiga marufuku dufu na kaswida maarufu kama ''mziki moto'' ambazo zinaaibisha na kuchafua sura ya uislamu huku zikitoka nje na utamaduni wa uislam.

TAZAMA  FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia