VIDEO: RC Mnyeti atoa neno zito kwa Maafisa wa elimu


Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti amewaambia  Walimu wakuu,Maafisa  elimu kata kama hawatafika asilimia hamsini katika ufaulu kwa wanafunzi,ni rasmi watakuwa wamejiondoa kwenye nafasi hiyo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI ......USISAHAU KU SUBSCRIBE