F VIDEO: Waziri Mbarawa acharuka ''hapa nitawaondoa mpaka kieleweka'' | Muungwana BLOG

VIDEO: Waziri Mbarawa acharuka ''hapa nitawaondoa mpaka kieleweka''

Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa amewataka mamlaka ya maji na usafi wa mazingira vijijini RUWASA, kuacha kuchelewesha fedha za miradi ya maji na kuwa chanzo cha miradi mingi kutopewa fedha kwa wakati, kwani kuanzishwa kwa mamlaka hiyo ni kuwezesha miradi ya maji kutendeka kiufasaha.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE