Waziri Mwakyembe amtumia RC Tanga salamu za rambi rambi kufuatia vifo vya mashabiki wawili wa Hassan Mwakinyo
byMuungwana Blog 5-
0
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Harrison Mwakyembe, ametuma salamu za rambi rambi kwa mkuu wa mkoa wa Tanga, Martin Shigella kufuatia vifo vya watu wawili ambao ni mashabii wa bondia Hassan Mwakinyo.