Nyumbani Breaking: Mvua zasababisha barabara kufungwa Dar byMuungwana Blog 5 -1/16/2020 09:35:00 AM 0 Kutokana na mvua zinazoendelea katika jiji la Dar es Salaam zimesababisha adha ya usafiri kwa abiria baada ya kufungwa kwa barabara katika eneo la jangwani. Endelea kuwa na Muungwana Blog tutaendelea kukupa taarifa hizi Facebook Twitter