Breaking News: Zungu achukua nafasi ya Simbachawene

Rais Magufuli amemteua Mussa Azzan Zungu kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira, nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na George Simbachawene aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi.
Mpya zaidi Nzee zaidi