Nyumbani Kichuya arudi simba rasmi byMuungwana Blog 5 -1/16/2020 09:00:00 AM 0 Timu ya simba SC imemrejesha kwa kumsajili tena Shiza Ramadhani Kichuya inadaiwa kama mchezaji huru. Timu hiyo bado haijaweka wazi kama wameingia mkataba wa muda gani kuichezea timu hiyo. Facebook Twitter