Nyumbani Liverpool kuhamia kwenye jezi za Nike byMuungwana Blog 2 -1/07/2020 08:00:00 PM 0 Klabu ya Liverpool imetangaza kutumia jezi pamoja na vifaa vinavyotengezwa na kampuni ya vifaa vya micheza Nike kuanzia msimu wa 2020 - 21. Dili hilo litaanzia Juni 1, ambapo Nike itachukua nafasi ya New Balance. Facebook Twitter