Msuva asajiliwa kwenye klabu ya Benfica ya Ureno

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania Saimon Msuva amesaini mkataba wa miaka 3  kuitumikia klabu ya  Benfica ya Ureno, akitokea Difaa El Jadida ya Morocco, lakini atapelekwa kwanza kwa mkopo wa miezi sita katika klabu ya Panathinaikos  ya Ugiriki  hadi mwezi Julai mwaka huu.


Mpya zaidi Nzee zaidi