Novemba 18, 1977 alizaliwa mwanamuziki na rapa wa Marekani maarufu Fabolous. Jina lake halisi ni John David Jackson.
Fabolous alizaliwa Brooklyn jijini New York. Alianza medani ya muziki akiwa mkubwa wakati anasoma shule ya sekondari na hatimaye akazamia zaidi katika kurap kwenye majukwaa. Dj Clue alimpa sapoti ya nguvu fabulous kwa kazi zake redio ba baadaye akapata uungwaji mkono katika kipindi cha Hot 97.
Fabolous alipambana vya kutosha kisha akasaini lebo kwenye kazi zake na DJ Clue. Aliachia wimbo wake wa kwanza mwaka 2001 wa Ghetto Fabolus. Aliwika zaidi katika singo ya Can’t Deny It na ile ya Young’n (Holla Back) hizo zilimpaisha sana. Mnamo mwaka 2003 alitoa tena Street Dreams ambayo iliungwa mkono na Into You na Can’t Let You Go.
Nyimbo zake ni nyingi hadi sasa Make me Better, Baby Don’t Go, Breathe n.k Mnamo mwaka 2004 alisaini mkataba na Atlantic Records baada ya kuachana na Elektra. Kuingia mkataba na Atlantic akaachia kibao cha Real Talk. Huyo ni Fabolous.

Tags:
makala