Katika ujumbe wake wa kwanza msanii huyo ameandika kuwa anajivunia kuwa mama wakati mwingine ukimshukuru Mungu.
”Am proud to be a mom @chris_outifts . Mungu wangu wewe ni mwaminifu sana hakika umejua kunifurahisha asante kwaajili ya hili @princess.pavitra @princess.pavitra,” Ujembe wa Tausi kwa mashabiki zake.
Mwanadada huyo anayetamba zaidi kwa sanaa ya filamu na vichekesho kupitia Kikaangani ya Eatv aliwahi kusema kuwa yupo kwenye mahusiano na Msanii wa muziki wa Taarab Prince Amigo.
