VIDEO: RC Morogoro ''tunaingia kwenye uchaguzi presha itakua kubwa, ole wao watakaohatarisha amani


Kuelekea uchaguzi mkuu  unao tarajiwa kufanyika  Oktoba  mwaka  huu,mkuu wa mkoa wa Morogoro LOATA OLE  SANARE amewaonya wanasiasa watakao jaribu kutumia mwanya huo kuhatarisha usalama wa wananchi badala yake  wafanye siasa kwa kuzingatia sheria za nchi.

SANARE ametoa wito huo katika kikao chake na viongozi mbalimbali wakiwemo wakuu wa wilaya ,wabunge na wakurugenzi wa halmashauri chenye lengo la  kujadili masuala ya maendeleo na changamoto zinazoukabili mkoa huo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE