Loading...

1/07/2020

VIDEO: Mwanafunzi chuo kikuu adakwa na Takukuru kwa kutoa hongo kwa afisa mitihani


Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha St John, James Kwangulija (27) wa mwaka wa tatu, mkazi wa kikuyu Dodoma amekamatwa na Takukuru kwa kujaribu kutoa hongo ya shilingi laki tisa kwa afisa mitihani wa chuo hicho ili asaidie kuongeza ufaulu GPA  za wanafunzi wenzake 6, mtuhumiwa mwingine ni Samweli Tuppah (39) mkazi wa Dar es saalamu mtumishi wa DSTV kwa kupokea hongo ya milioni 5.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE

KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger