IGP Sirro afungua mkutano wa nchi 14 za shirikisho la wakuu wa Polisi mashariki mwa Afrika

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akisalimiana na Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi Uganda, John Ndungutse katika hotel ya Golden Tulip jijini Dar es Saalaam baada ya kufungua mkutano wa Kamati Tendaji za Shirikisho la Wakuu wa Polisi Mashariki mwa Afrika (EAPCCO). Mkutano huo umeshirikisha nchi 14 kutoka kwenye shirikisho hilo ambapo wamekutana kujadili na kupanga mikakati ya kupambana na uhalifu unaovuka mipaka. Picha na jeshi la Polisi.

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Kamati Tendaji za Shirikisho la Wakuu wa Polisi Mashariki mwa Afrika (EAPCCO) katika hotel ya Golden Tulip. Mkutano huo umeshirikisha nchi 14 kutoka kwenye shirikisho hilo ambapo wamekutana kujadili na kupanga mikakati ya kupambana na uhalifu unaovuka mipaka. Picha na jeshi la Polisi.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa kamati mbalimbali za Shirikisho la Wakuu wa Polisi Mashariki mwa Afrika (EAPCCO) baada ya ufunguzi wa mkutano huo ulioshirikisha nchi 14 kutoka kwenye shirikisho hilo ambapo wamekutana kujadili na kupanga mikakati ya kupambana na uhalifu unaovuka mipaka. Picha na jeshi la Polisi.